Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Banda la TAA maonesho ya ACI Africa



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango, Usanifu na Uthamini kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Diana Munubi baada ya kutembelea Bando la Mamlaka hiyo wakati wa ufunguzi  wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.


akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Abdul Mombokaleo mara baada ya kutembelea banda la TAA wakati wa ufunguzi  wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.

Related Posts