MichezoJKU yaiweka pabaya New City ZPL Admin4 months ago01 mins 34 NEW City imekuwa timu ya tatu kuaga rasmi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada kuchezea kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Maafande ya JKU katika mechi iliyopigwa jana Jumatatu usiku. Post navigation Previous: Mbinu mpya ya Polisi KisutuNext: Watatu wafariki kwa kuangukiwa na nyumba Moshi