Shigongo Aongoza Waombolezaji Kumuaga Kasango Mwizalubi, Buchosa- Video – Global Publishers



Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki mazishi ya Kasango Mwizalubi aliyekuwa Balozi wa CCM katika Kijiji cha Itabagumba, Buchosa wilayani Sengerema.

Akiwa kwenye msiba wa Mwizalubi ambaye pia alikuwa Mwenyeiti wa Kitongoji cha Mlumoni, Itabagumba, Shigongo amewakumbusha watu wote kuishi kwa upendo kwa sababu maisha ya duniani ni mafupi na kila nafsi itaonja mauti.











Related Posts