Habari RAIS DKT SAMIA AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA MSUMBIJI MHE.CHAPO May 9, 2025 Admin 21 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025. Related Posts Habari HAKUNA MAJADILIANO YA MUDA WA KUKAMILISHA MRADI WA MAJI MIJI 28 -WAZIRI AWESO ATOA ONYO KALI KWA WAKANDARASI July 15, 2025 Admin Habari TBS Kanda ya Mashariki Yateketeza Tani 64 za Vipodozi Vyenye Viambata sumu July 15, 2025 Admin