Kumekuwepo na madai yanayosambaa mitandaoni kwamba Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kinatumika kukidhoofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Global TV imemtembelea kiongozi wa CHAUMA, Hashim Rungwe, maarufu kama Mzee wa Ubwabwa, ambaye amezungumzia madai hayo kwa kina.