Vijana Wa CCM Dar Washauri Askofu Gwajima ‘Atumbuliwe’ – Video – Global Publishers




Baadhi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Hemed Hassan, Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Kinondoni, wamemjibu Askofu Josephat Gwajima kufuatia mkutano aliouitisha na waandishi wa vyombo vya habari.











Related Posts