Rais Dkt. Samia Akishiriki Mkutano Mkuu CCM – Global Publishers




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akishiriki Mkutano Mkuu CCM Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma, leo tarehe 29 Mei, 2025.

Baadhi ya wajumbe na viongozi mbali mbali wakiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center (JKCC) Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa CCM leo Alhamisi tarehe 28,Mei 2025.











Related Posts