Exclusive: Sheikh Walid Afichua Ukweli Wa Ndoa ya Diamond Na Zuchu – Video

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Waleed Alhad Omar Kawambwa amethibitisha kuwa msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz amefunga ndoa na Zuhura Othman Soud maarufu kama (ZUCHU) mwaka jana mwezi wa nne nyumbani kwake Magomeni.

Related Posts