Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala iliyopo wilayani Itilima mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, iliyoko Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu.
Rais Dkt. Samia ameweka jiwe hilo la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za Sekondari za Amali zinazojengwa nchi nzima.
Rais Dkt. Samia akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, iliyoko Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, tarehe 18 Juni, 2025.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.