HABARI NJEMA NA SULUHISHO KWA WAFANYABIASHA WA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA NJIA YA NDEGE

KIKAO CHA WAFANYABIASHARA WA USAFIRISHAJI WA MIZIGO MAALUM NA WAMILIKI WA MAKAMPUNI 

Je, wewe ni mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni unayetuma mizigo kati ya Falme za Kiarabu (Dubai) na Tanzania?

Je, umekuwa ukihangaika kupata njia bora, ya uhakika, na nafuu ya kutuma mizigo yako kutoka Dubai kwenda Tanzania?

Je, umekuwa ukipitia changamoto za Mizigo yako ya Biashara kuachwa, Mizigo Kuchelewa na changamoto za MCO?

SASA TUMEKUFIKIA NA TUNA HABARI NJEMA JUU YAKO!!!

TAREHE 22/06/2025 SIKU YA JUMAPILI MNAKARIBISHWA KWENYE KIKAO CHA WAFANYABIASHARA CHA UFUNGUZI WA HUDUMA MPYA YA NDEGE YA MIZIGO. KWENYE KIKAO HIKO MTAWEZA KUJUA HUDUMA MBALI MBALI ZINAZOTOLEWA ZIKIWEMO , RATIBA YA NDEGE, AINA YA MIZIGO NA BEI KWA KILO

KARIBUNI SANA KWENYE KIKAO HICHO AMBACHO KITATOA FURSA KWA WAFANYABIASHARA NA VILEVILE KUJENGA UHUSIANO

KITAKACHOFANYIKA:

SIKU YA JUMAPILI

TAREHE 22/06/2025

UKUMBI: LANDMARK HOTEL, BANIYAS DEIRA

MUDA: KUANZIA SAA 8 MCHANA

👉 Usikose fursa hii adhimu kuleta mapinduzi halisi kwenye biashara yako!

🔔 Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa zaidi.

Kwa mawasiliano: +971504295744

 

Related Posts