DKT PHILIP MPANGO AFANYA MANZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA BENKI YA AFREXIM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim unaofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025.

Related Posts