WAZIRI PROF. MKENDA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA ROMBO

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli

 

Related Posts