Habari MHANDISI JUMBE ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE SHINYANGA MJINI June 28, 2025 Admin 17 Mhandisi James Jumbe Wiswa akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 28,2025 baada ya kuchukua katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Related Posts Habari TANZANIA KOREA KUFANYA MRADI WA UPANUZI WA MFUMO WA GOTHOMIS July 8, 2025 Admin Habari DIRA 2050 YA TANZANIA TUITAKAYO IMEKAMILIKA,RAIS SAMIA KUIZINDUA JULAI 17 July 8, 2025 Admin