Habari DKT. CHARLES STEPHEN KIMEI ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE AWAMU YA PILI – VUNJO June 28, 2025 Admin 15 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amechukua fomu ya kuwania ubunge awamu ya pili katika jimbo hilo zilizotolewa ofisi za Chama Cha Mapinduzi Moshi Vijijni. Related Posts Habari GG&3+ Kukupatia Mshiko Mechi ya PSG vs Real Madrid July 9, 2025 Admin Habari Dawa ya malaria kwa watoto wachanga yaidhinishwa July 9, 2025 Admin