Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • Chan 2024 kazi ipo huku sasa

    1 hour ago
  • Kwa hili… Taifa Stars hatuwadai

    1 hour ago
  • Sudan, Algeria vita nzito, Uganda kuikabili Senegal

    1 hour ago
  • Kiungo Kagera ajitabiria Coastal | Mwanaspoti

    1 hour ago
  • Vita tano ngumu Yanga | Mwanaspoti

    1 hour ago
  • Simba pamoto! Maema, Ahoua ngoma nzito

    1 hour ago
  • Home
  • 2025
  • June
  • 30
  • RUHORO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NGARA 2025-2030
  • Habari

RUHORO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NGARA 2025-2030

Admin2 months ago01 mins
27

 

Mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amechukua fomu ya maombi ya kugombea tena nafasi ya ubunge kwa kipindi kingine cha 2025/30 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Fomu hiyo ameichukua leo Juni 30 2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Ngara Mkoani Kagera. 

 Hata hivyo vyombo vya habari vilivyokuwepo katika eneo la tukio walipotaka mahojiano hakuwa tayari kuzungumzia chochote zaidi alisema wakati ukifika atazungumza.

Ikumbukwe kuwa Mheshimiwa Ruhoro ni miongoni mwa viongozi wenye ushawishi mkubwa  kwa wananchi wa jimbo lake kwani wananchi hao wamekuwa wakimchangia fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea tena katika kipindi kingine 2025-2030.

Post navigation

Previous: Wanaodaiwa kuendesha biashara ya upatu waendelea kusota rumande
Next: Yanga yatumia wimbo wa Ali Kiba kuikebehi Simba 

Related News

Utata urais wa Mpina, Msajili kuwakutanisha ACT-Wazalendo, Monalisa leo

Admin3 hours ago 0

SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MGODI NYANDOLWA.

Admin10 hours ago 0

Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD Wahitimishwa Jijini Yokohama

Admin10 hours ago 0

MKUTANO WA TISA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI TICAD WAHITIMISHWA JIJINI YOKOHAMA

Admin10 hours ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo