Habari MJUMBE MKUTANO MKUU TAIFA SANGO GUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA RORYA June 30, 2025 Admin 16 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, Sango Gungu amechukua fomu kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Ubungo Jimbo la Rorya mkoani Mara leo, Juni 30, 2025. Amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wikaya ya Rorya, Hassan Ntalika Related Posts Habari TCB YAHAMASISHA VIJANA KUVUNA FURSA KWENYE SEKTA YA KAHAWA July 8, 2025 Admin Habari Waziri Ajiua Kwa Risasi Kisa Kufutwa Kazi Na Putin – Global Publishers July 8, 2025 Admin