Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MGODI NYANDOLWA.

    1 hour ago
  • Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD Wahitimishwa Jijini Yokohama

    1 hour ago
  • MKUTANO WA TISA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI TICAD WAHITIMISHWA JIJINI YOKOHAMA

    2 hours ago
  • Taifa Stars yaishia njiani kama Kenya

    2 hours ago
  • Wadau: Nishati safi iendane na ubora vifaa vinavyotumika

    3 hours ago
  • TAARIFA KUHUSU MPINA KUTOKUKIDHI KANUNI ZA ACT WAZALEND

    3 hours ago
  • Home
  • 2025
  • June
  • 30
  • MTANZANIA WA DIASPORA ABDALLAH NYALIGWA ACHUKUA FOMU UBUNGE ITWANGI
  • Habari

MTANZANIA WA DIASPORA ABDALLAH NYALIGWA ACHUKUA FOMU UBUNGE ITWANGI

Admin2 months ago01 mins
29

 

Mtanzania anayeishi Uingereza, Abdallah Nyaligwa, leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limegawanywa kutoka Jimbo la Solwa.

Nyaligwa mzaliwa wa Itwangi kutoka familia ya Chief Kaswende Shikira anakuja kuwania nafasi hii akiwa na kumbukumbu ya heshima na urithi wa familia yake, kwani ni mjukuu wa marehemu Chief Abdalla Fundikira, kiongozi mashuhuri na shujaa wa siasa, ambaye alijitolea kwa ustawi wa jamii na taifa.

Post navigation

Previous: Prisons yagoma kushuka, yaichongea Fountain Gate
Next: Chaumma yapuliza kipyenga ubunge na udiwani, urais ngoma nzito

Related News

SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MGODI NYANDOLWA.

Admin1 hour ago 0

Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD Wahitimishwa Jijini Yokohama

Admin1 hour ago 0

MKUTANO WA TISA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI TICAD WAHITIMISHWA JIJINI YOKOHAMA

Admin2 hours ago 0

Wadau: Nishati safi iendane na ubora vifaa vinavyotumika

Admin3 hours ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo