………………..
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Daniel Sabuni amechukua fomu ya ya kutoa nia kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigamboni jijini Dar es salaam katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Mhandisi Sabuni amechukua fomu hiyo na kurejesha katika ofisi za Chama hicho zilizopo Kigamboni.