TUME YA USHINDANI (FCC), KUTUMIA FURSA YA MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA) KWA KUTOA ELIMU KWA UMMA

 

Bi. Roberta Feruzi, Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano kwa Umma akitoa elimu kwa mwananchi aliyetembelea banda la (FCC) kuhusu kununua bidhaa sahihi na kuepuka kurubuniwa na matangazo na vifungashio vinavyopotosha katika viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Wananchi mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Scolastica Afisa Uhusiano wa (FCC) (PICHA ZOTE NA EMMMANUEL MASSAKA,MMG)

Related Posts