Nani Hataki Zawadi? Meridianbet Wanagawa Samsung A25 kwa Wacheza Super Heli

KAMA bado hujaipata hii taarifa, basi uko nyuma sana. Meridianbet wamerudi tena na promosheni mpya inayotikisa. Safari hii wakikuletea mchezo wa Super Heli ambao hauleti tu burudani ya kukata na shoka, bali pia unakuweka kwenye rada ya ushindi wa simu mpya ya Samsung A25. Yaani, simu ya kisasa kabisaa bila hata kutoka jasho.
Promosheni ilianza Julai 1 na itaendelea hadi Julai 31, na ndani ya kipindi hiki kuna jumla ya simu 8 zitakazogawiwa. Kila Jumatatu, simu mbili zinatoka kwa mpigo, zikienda kwa wachezaji waliojikita vya kutosha kwenye mchezo huu wa Super Heli.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni lakini pia una machaguo ya kutosha ukiwa unabashiri na Meridianbet, kila chaguo lina odds kubwa. Jisajili na Cheza.
Super Heli si mchezo wa kawaida hata kidogo, hapa unakaa kwenye kiti cha rubani, unaweka dau lako, kisha unasubiri helikopta ipae. Kadri inavyopaa, odds zinaongezeka na pesa zako nazo zinatakata. Lakini kumbuka, usipowahi kutoa kibunda chako (cash out) kabla helikopta haijalipuka, unaweza kupoteza kila kitu. Hapa tunasema, “speed na timing yako ndiyo game changer” ya dau lako.
Na sasa, burudani hii haipo peke yake, inakuja na zawadi babkubwa. Hakuna ada ya ziada, hakuna masharti ya kichwa kuuma. Unachotakiwa kufanya? Kuwa na akaunti hai ya Meridianbet, kisha cheza Super Heli mara nyingi uwezavyo. Ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kuondoka na Samsung mpya kabisa.
Cheza, shinda, shangilia. Hiyo ndiyo vibe ya Super Heli kutoka Meridianbet. Usikae ukisikia tu wengine wakitangazwa, na wewe unaweza kuwa mmoja wa wamiliki wapya wa Samsung A25 mwezi huu.
Pakua app au tembelea tovuti ya Meridianbet sasa, fungua akaunti yako, kisha ingia kwenye Super Heli. Haujui, huenda simu mpya ni yako.

Related Posts