Sherehe au tafrija zinazofanyika ndani ya nyumba za watu binafsi ‘house party’ zimekuwa maarufu miongoni mwa jamii mijini, hasa kutokana na urahisi wa kuzipanga kupitia mitandao ya kijamii, kukwepa gharama za kulipia kumbi rasmi na uhuru wa kuburudika bila bughudha wala mipaka.
Usiyoyajua kuhusu kushamiri ‘house party’
