Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu leo Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Endelea kufuatilia Mwananchi na mitandao yake.