Mkutano Huo ukiwa ni mkutano wa 16 wa wanahisa umefanyika jana Julai 26, 2025 katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam ambao ulihudhuriwa na wanahisa kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania, pamoja na askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya.