Chama cha Mapinduzi kuniteua Kugombea UDIWANI wa Kata yetu Pendwa Mabwepande,Ninakuomba Uendelee kunisaidia tuweze Kupata Kura za Kutosha Tarehe 04/08/2025
Mimi ni Ndugu yako Mpambanaji A Mashimba Mgombea Udiwani Kata Pendwa ya Mabwepande.
MASHIMBA ATEULIWA NA CCM KUNGOMBEA UDIWANI KATA YA MABWEPANDE
