Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • CRDB yaja na hatifungani inayokusanya fedha kuwezesha biashara

    1 hour ago
  • Wagombea urais NLD, Makini, UPDP waanika vipaumbele vyao

    1 hour ago
  • Hizi hapa faida, hasara kuandika majina ya watoto kwenye mali unazomiliki

    1 hour ago
  • Mahakama yafuta uamuzi uliomtia hatiani Mwabukusi

    1 hour ago
  • KADEGE AKABIDHIWA FOMU YA UTEUZI KITI CHA RAIS JAMHURI MUUNGANO

    2 hours ago
  • RAIS MWINYI:SMZ ITAENDELEA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA USAJILI KIDIJITALI 

    2 hours ago
  • Home
  • 2025
  • August
  • 9
  • NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI
  • Habari

NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI

Admin1 day ago01 mins
13

Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu leo, tarehe 9 Agosti 2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).

Post navigation

Previous: Mauritania yainyoosha Afrika ya Kati
Next: Jumamosi ya Ushindi Hii Hapa

Related News

CRDB yaja na hatifungani inayokusanya fedha kuwezesha biashara

Admin1 hour ago 0

Wagombea urais NLD, Makini, UPDP waanika vipaumbele vyao

Admin1 hour ago 0

Hizi hapa faida, hasara kuandika majina ya watoto kwenye mali unazomiliki

Admin1 hour ago 0

Mahakama yafuta uamuzi uliomtia hatiani Mwabukusi

Admin1 hour ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo