15 WAINGIA FAINALI MISS UNIVERSE 2025

Usiku wa kuamkia Jumatatu ya leo August 13, 2025 shindano la Miss Universe lilifanya mchujo wa washiriki 20 kutoka kwenye washiriki 35 waliokuwa Kambini na kubaki na washiriki 15 ambao ndio watapanda jukwaa la fainali ya Miss Universe Tanzania 2025.

Washiriki 15 walioingia fainali ni;

Kutoka Dar es salaam

1. Celline Joseph Mollel

2. Hilda Ephraim Kibonde

3. Shifa Adam Rajab

4. Evelyn Charles Raphael

5. Naisae Yona

Kutoka Zanzibar;

6. Zulfa Yazid Suliman

7. Sarah Joseph

Kutoka Arusha;

8. Rania Khalid

9. Salma George Mwakalukwa

10. Glory Elias Letayo

Kutoka Mbeya;

11. Doreen Makere Nikonea

Kutoka Mwanza

12. Sipora Buchumi

13. Honarine Byela Ally

Na kutoka Dodoma

14. Janeth Anselme Takunga

15. Brenda Callixte Kanamugile

Fainali za Miss Universe Tanzania 2025 zitafanyika ukumbi wa Superdome tarehe 23 August, 2025. Unafikiri ni nani atashinda taji la Miss Universe mwaka huu?