Jumamosi ya kibabe imefika na wewe huu ndio wakati wako wa kupiga pesa leo huku nafasi ya wewe kuchukua mkwanja ikiwa ni nje nje kabisa. Timu kibao zipo dimbani leo kusaka ushindi na wewe saka mapene na Meridianbet.
LIGUE 1 kule Ufaransa itaendelea kwa mechi kadhaa ambapo RC Lens ataumana vikali dhidi ya Olympique Lyon ambao kushinda ugenini leo wana ODDS 2.95 kwa 2.35. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Tandika jamvi hapa.
Wakati kwa upande wa Mbwana Samatta na timu yake ya Le Havre watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya AS Monaco ya kina Paul Pogba. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.30 kwa 10. Wewe unampa nani nafasi ya kuondoka na ushindi leo?. Jisajili hapa.
ODDS za kibabe zipo kwenye mechi ya OGC Nice dhidi ya Toulouse huku takwimu zikionesha kuwa hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi ya kushinda leo, lakini pia mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000 leo. Suka jamvi lako hapa.
Pesa ya uhakika ipo hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kivumbi kitakuwa kule LALIGA baada ya jana kushuhudia mechi kali, bingwa mtetezi wa ligi FC Barcelona atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya RCD Mallorca moja ya timu ambazo ni ngumu sana kule Hispania. Hans Flick na vijana wake wamejiandaa kwa ushindi wakipewa ODDS 1.39 kwa 7.60. Suka mkeka hapa.
Deportivo Alaves atakuwa uso kwa uso dhidi ya Levante UD ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Hii ni vita kali sana katika dimba la Mendizorroza. Kila timu inataka kuanza vyema ligi. Je pesa yako unaiweka kwa nani leo aondoke na ushindi?. 2.20 kwa 3.80 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Mechi ya mwisho kule Hispania ni hii ya Valencia CF dhidi ya Real Sociedad ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 3.10 kwa 2.60. Mechi ya mwisho kukutana Sociedad alipigika. Je leo hii mwenyeji ataendeleza ushindi au mgeni kulipa kisasi?. Bashiri hapa.
Mapema kabisa kule EPL, Aston Villa atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe. Mara ya mwisho kukutana Villa aliondoka na ushindi lakini waligawana pointi msimu uliopita mechi mbili. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.30 kwa 3.30. Bashiri sasa.
Mechi nyingine ni hii ya Brighton dhidi ya Fulham ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na ushindi leo wakiwa na ODDS 3.70 kwa 2.00. Vijana wa Fabian Hurzeler wanataka kuanza na ushindi mnono wakiwa nyumbani kwao mbele ya mashabiki zao. Je nani kuanza msimu na pointi 3?. Jisajili hapa.
Nao Tottenham Spurs baada ya kukosa taji la Uefa Super Cup sasa watarejea kwenye ligi kupepetana dhidi ya Burnley ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Ikumbukwe kuwa msimu uliopita ulikuwa mbaya kwa klabu hii licha ya kuchukua kombe la Europa. Pia wana kocha mpya ambaye ni Thomas Frank. ODDS za mechi hii ni 1.45 kwa 7.20. Tandika jamvi hapa.
Kwa upande wa Manchester City wao watakuwa ugenini leo kuanza safari ya kutetea taji lao dhidi ya Wolves ambao msimu uliopita walimaliza nafasi ya 16. Pep Guardiola amefanya usajili wa wachezaji ambao anaamini watamletea ubingwa akiwemo Cherki, Tijjani, Marmoush na wengine. Je Mbwa Mwitu watawzuia City kushinda?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 6.60 kwa 1.47.