MERIDIANBET kwa mara nyingine tena imeleta msisimko mpya kwenye ulimwengu wa kasino mtandaoni kupitia Playson Short Races, mashindano ya kasi yanayowapa nafasi wachezaji wote kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.
Kila usiku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila mzunguko unaocheza kwenye sloti za Playson ni tiketi yako ya kupanda kwenye leaderboard na kujiunga na timu ya washindi wakubwa. Ni wakati wa kuonyesha uwezo wako na kugeuza michezo midogo kuwa ushindi mkubwa.
Kila siku, kuna mbio 10 za kasi zenye zawadi kemkem. Kwa dau dogo tu kuanzia TZS 600/-, unaweza kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki cha kifalme. Kadri unavyoshinda ndivyo pointi zako zinavyoongezeka, na hatua kwa hatua unavyopanda juu kwenye leaderboard, ndivyo unavyokaribia kitita kikubwa cha pesa taslimu.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Unajua uzuri wa huu mchezo ni nini? Washindi wote hulipwa ndani ya siku tatu tu, moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet. Hakuna kusubiri, hakuna kuzungushwa, ni ushindi safi kwa kila bingwa.
Mashindano haya yanagawanya hadi jumla ya TZS Bilioni 6 kila mwezi na ni maalum kwa wachezaji wa pesa halisi pekee wasiotumia bonasi. Yaani huku hakuna mbwembwe, ni wewe tu na dau lako pamoja na bahati yako.
Mashindano haya ya Playson Short Races yalianza tarehe 9 Agosti na yataendelea hadi mwisho wa mwezi huu. Usiachwe nyuma, huu ndio wakati wa kuishi kibingwa, kuonyesha uwezo wako, na kuondoka na ushindi mkubwa kila siku.
Fungua akaunti yako Meridianbet kupitia tovuti au app ya simu, weka dau lako kuanzia TZS 600/- tu, na uwe sehemu ya historia ya washindi wa Playson Short Races.