HUU sio mchezo wa kawaida. Kuanzia Juni 30, 2025, wachezaji wote wa Meridianbet wamekua wakishindana kwenye promosheni kubwa ya LOOT Legends kuwania sehemu ya zawadi kubwa zaidi nchini TZS 1.5 bilioni na mashindano haya yataendelea kurindima mpaka Septemba 7, 2025.
Jinsi ya kushiriki kwenye promosheni hii ni rahisi sana. Kwanza hakikisha umejisajili kwenye mashindano ya kila wiki kisha cheza michezo ya sloti ukiwa na pesa halisi kuanzia TZS 280 tu. Ushindi wako kwenye promosheni hii ni kutokana na wingi wa pointi utakazozikusanya kwenye mzunguko mmoja. Mfano, ukicheza TZS 28,000 na kushinda TZS 7,000,000, unapata pointi 250,000.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kila wiki, Meridianbet itagawa TZS 150,000,000 kwa washindi waliopanda juu kwenye jedwali la uongozi. Zawadi zote ni pesa taslimu, ambazo zitaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako, hakuna sharti la kucheza tena, hakuna kusubiri.
Michezo inashirikishwa ni mingi sana na miongoni mwake ni pamoja na 12 Masks of Fire Drums, Candy Combo, Bass Cash X UP, Arena of Gold: Shields of Glory, Gold Blitz, Fire and Roses Joker, 333 Boom Banks, na mingine mingi.
Hii ni nafasi yako ya kuwa LOOT Legend halisi. Tembelea meridianbet.co.tz au tumia app ya Meridianbet, cheza sloti zako pendwa, na ingia kwenye mbio za ushindi mkubwa.