Carabao Cup Ndio Ushindi Wako na Meridianbet – Global Publishers


Je unajua kuwa ushindi wako siku ya leo upo Meridianbet kwenye mechi za Carabao Cup?. Mechi kibao kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku timu hizo zikiwa na ODDS za kibabe. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.

AFC Bournemouth atamenyana dhidi ya Brentford huku wote wakiwa wakipiga kule Uingereza. Mechi zote za msimu uliopita walipokutana, Nyuki waliondoka na ushindi. Je leo hii jamvi lako unaliweka wapi kwenye mechi hizi mbili?. Mechi hii ina ODDS 1.78 kwa 4.10 lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Norwich City atakuwa uso kwa uso dhidi ya Southampton ambapo hawa waote wanakipiga Championship. 2.85 kwa 2.37 ndio ODDS za mechi hii, hivyo ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri mechi hii. Ikumbukwe kuwa ni sare iliyopatikana mara ya mwisho kukutana.

Pia mechi nyingine ni hii ya Wolverhampton vs West Ham United ambapo hawa wote wanakipiga ligi kuu ya Uingereza yaani EPL. Hizi ni timu za daraja la kati huku kwenye mechi mbili walizocheza za ligi, wamepoteza zote huku waote pia wakiwa chini kabisa kwenye msimamo wa ligi. Beti yako unaiweka wapi hapa kati ya ODDS 2.25 kwa 3.05.

Jumanne ya leo piga pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Bashiri mechi hii ya Reading FC dhidi ya AFC Wimbledon ambao hawa waote wanacheza ligi daraja la tatu Uingereza yaani League one. Mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi ambapo ODDS za mechi hii ni 2.23 kwa 3.30. Bashiri hapa sasa.

Pia Sunderland AFC wao watakuwa kibaruani dhidi ya Huddersfield Town ambao walishuka kutoka ligi daraja la kwanza mpaka ligi daraja la tatu. Mwenyeji yeye anakipiga ligi kuu ya Uingereza mpaka sasa akiwa ameshinda mechi moja kati ya mbili alizocheza. 1.51 kwa 6.00. Wewe beti yako unaiweka wapi?. Jisajili hapa.

Pia mechi nyingine kali ni hii ya Millwall FC dhidi ya Coventry City ambapo mtanange wa mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je leo hii nani kuibuka mbabe kwenye michuano hii ya EFL kule Uingereza?. Tandika jamvi hili lenye ODDS 2.90 kwa 2.44.

Burton Albion atamleta kwake Lincoln City ambao hawa wote wanakipiga League one kule Uingereza. Mwenyeji kushinda mechi hii ya leo amepewa ODDS 3.10 kwa 2.27. Msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana kila mtu alishinda mechi moja. Leo nani unampa pesa yako akupe ushindi?. Beti hapa

Kwa upande wa Derby Country wao watasafiri kumenyana dhidi ya Burnley ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Meridianbet wao wanampendelea mwenyeji kuondoka na pointi tatu siku ya leo wakimpatia ODDS 1.40 kwa 7.60. Suka jamvi mechi hii sasa.

Pia Leeds United watakuwa ugenini kusaka nafasi ya kuendelea hatua inayofuata kwenye michuano ya Carabao Cup dhidi ya Sheffield Wednesday ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na pointi 3 leo hii wakiwa na ODDS 14 kwa 1.18. Jisajili hapa.