BALOZI NCHIMBI AMKABIDHI NYARAKA KATIBU MKUU WA CCM BALOZI ASHA ROSE MIGIRO

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt,Emmanuel John Nchimbi ambaye kwa sasa ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimkabidhi nyaraka Katibu Mkuu mpya wa chama hicho Balozi Dkt.Asha Rose Migiro wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi, yaliyofanyika leo Jumanne Agosti 26, 2025, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.