MichezoBado Watatu – 12 Admin2 months ago01 mins 27 Baada ya muda kidogo nikaona mlango unafunguliwa. Aliingia msichana mweupe. Alikuwa amevaa baibui jeusi. Kichwa chake alikuwa amekifunika kwa hijabu. Aliponiona aligutuka, akafunga mlango na kuja kukaa kwenye sofa jingine. Post navigation Previous: DKT. NCHIMBI ATIA MGUU MWANZA KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUUNext: Yanga, Simba zagawana viwanja Dar