Makundi mbalimbali ya Wananchi Mkoani Geita wakiwa tayari kusikiliza Sera za wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) 2025-2030 ngazi ya Ubunge na Udiwani Mkoa wa Geita kielekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.
TUMEKUJA KUSIKILIZA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI HAPA BUKOMBE-GEITA
