BAADA ya jana kufunguliwa kwa michuano ya CECAFA ya wanawake kwa kuchezwa mechi mbili za makundi, CBE dhidi ya Rayon Sports na wenyeji Police Bullets dhidi ya Kampala Queens, leo saa 7:00 mchana JKT Queens itaikaribisha JKU Queens Zanzibar kwenye Uwanja wa Nyayo, Kenya.
JKT Queens, JKU kazi inaanza
