JUMANNE ya leo mechi za kufuzu Kombe la Dunia Afrika zinaendelea kama kawaida ambapo kila timu inahitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ushindi. Suka jamvi lako la uhakika hapa na uibuke bingwa sasa.
Tanzania baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita akiwa ugenini, leo hii atakuwa mwenyeji wa Niger ambao kushinda mechi hii leo wamepewa ODDS 5.00 kwa 1.82. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku mechi ya mwisho kukutana, Stars aliondoka na ushindi. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3 katika dimba la New Aman Complex?. Tandika jamvi hapa.
ODDS za kibabe zipo pia kwenye mechi ya Sierra Leone dhidi ya Ethiopia mechi ya mtanange wa Kundi A. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku leo hii Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji 2.02 kwa 4.00. Je pesa yako unampa nani siku ya leo?. Bashiri hapa.
Naye Zimbabwe atakuwa mwenyeji wa Rwanda huku mwenyeji akiwa ndiye kibonde wa ligi akiwa na pointi 4, wakati kwa mgeni yeye akiwa na pointi 8. Ni suluhu ndiyo ilipatikana mechi ya mwisho walipokutana. Je leo hii kwa ODDS ya 2.80 kwa 2.80 nani ataondoka na pointi 3?. Jisajili hapa.
Chukua mpuga kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Tandika jamvi mechi ya Cape Verde vs Cameroon ambao wapo nafasi ya kwanza na nafasi ya pili. Timu hizi zimetofautiana pointi 1 pekee huku mtanange wa mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Nani kuongeza Kundi D siku ya leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.20 kwa 2.60. Tandika jamvi hapa.
Baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii Nigeria atakichapa dhidi ya kinara wao kwenye Kundi C South Africa ambao wapo mbele kwa pointi 6. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kwani Kombe la Dunia la 2026 ni muhimu na kila timu inataka kushiriki. Bashiri mechi hii sasa ambapo ODDS zao ni 2.60 kwa 2.85.
Kiwanja kitawaka vumbi leo kwenye mechi ya DR Congo vs Senegal ambao ndio wanapewa nafasi kubwa ya ushindi siku ya leo wakiwa na ODDS 2.30 kwa 3.70. Timu hizi zinatafatana kwenye msimamo wa Kundi B ambapo tofauti yao ni alama 1 pekee. Je kwa upande wako unamdhamini nani akupe ushindi mnono?. Beti hapa.
Vilevile unaweza ukabashiri mechi ya Burkina Faso dhidi ya Egypt ambapo hawa wote wanafatana kwenye msimamo wa kundi lao, kwani mgeni ndiye kinara akiwa na pointi zake 19 na mwenyeji wake akiwa na pointi zake 14. Mechi ya mwisho walipokutana mwezi Juni Misri waliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji atafanikiwa kupata ushindi?. Suka jamvi hapa.
Pia mteja wa Meridianbet unaweza ukajikusanyia mpunga mechi ya Togo dhidi ya Sudan ambapo tofauti yao ni pointi 8 pekee. Sare ndio matokeo ya mwisho kupatikana walipokutana. Ushindi ni muhimu leo kwa kila timu hivyo na wewe hii ndio nafasi yako ya kuchagua nani akupe ushindi mnono siku ya leo. 2.14 kwa 3.30 ndio ODDS za mechi hii, Jisajili hapa.
Ivory Coast watakuwa ugenini kumenyana vikali dhidi ya Gabon ambao wapo nafasi ya pili kwenye Kundi F. Wenyeji kuondoka na pointi 3 leo nyumbani wamepewa ODDS 3.75 kwa 2.13. Je jamvi lako unaliweka kwa nani kati ya hawa wawili?. Beti sasa.