Meridianbet Yazindua Playson Short Races Ikiwa Na Mamilioni – Global Publishers


Ikiwa kinara wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee inayochochea msisimko na ushindani inayofahamika kama Playson Short Races. Hii ni fursa ya kila mchezaji kujitosa kwenye mashindano ya kila usiku na kujinyakulia sehemu ya zawadi zinazofikia TZS bilioni 6. Ndiyo, ni bilioni 6.

Mashindano haya yanarindima kila siku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, kuanzia tarehe 9 hadi mwisho wa mwezi Septemba. Kinachohitajika ni dau la TZS 600 au zaidi kwenye sloti yoyote ya Playson inayoshiriki na kila ushindi unakupa alama kwenye jedwali la washindi. Kwa mfano, ushindi wa TZS 3,000 unakupa alama 10, huku TZS 300,000 ikikupa alama 1000. Kadri unavyoshinda, ndivyo unavyopanda juu kwenye jedwali.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Hakuna usajili wa ziada unaohitajika. Mara tu unapocheza sloti ya Playson kwa pesa halisi, tayari umeingia kwenye mashindano. Hata wachezaji wapya wa kasino mtandaoni wana nafasi ya kushiriki na kushinda bila vizingiti.

Na kwa wale wanaopenda uwazi na kasi ya malipo, Meridianbet inahakikisha zawadi zote hulipwa ndani ya siku tatu tu baada ya mashindano kumalizika, moja kwa moja kwenye akaunti yako. Hakuna usumbufu, hakuna kusubiri.

Ni muhimu kufahamu kuwa mashindano haya yanapatikana kwa wachezaji wanaotumia pesa halisi pekee. Pia, Meridianbet inahifadhi haki ya kurekebisha matokeo au zawadi endapo kutatokea hitilafu za kiufundi, udanganyifu au ukiukaji wa masharti ya promosheni.

Usikubali nafasi hii ipite bila kuchukua hatua. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet sasa hivi. Cheza sloti za Playson kwa kasi, kusanya alama, na uandike jina lako kwenye jedwali la washindi. Ingia sasa mchezoni, kasi yako ndiyo tiketi ya ushindi.