DKT.NCHIMBI ASALIMIA WANANCHI WA ARUMERU ,AOMBA KURA

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi akisalimia wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi alipokuwa akiendelea na mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kunadi Ilani ya chama hicho pamoja na kuomba kura kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani wa CCM mkoani Arusha leo Septemba 12, 2025.