Je unajua afya bora ni mtaji kwako?. Kama ulikuwa hujui basi ndio nimekupa taarifa leo na kwa kuwa wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanajua umuhimu wa kuwa na afya bora na kutunza mazingira leo hii waliamua kutembelea hospitali ya Kifuma na kutoa Dustbins.
Kampuni ya michezo ya kubashiri Meridianbet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kujali jamii kwa vitendo baada ya kukabidhi msaada wa dustbins katika Hospitali ya Kifuru. Hatua hii inalenga kuimarisha usafi wa mazingira hospitalini hapo na kutoa nafasi kwa wagonjwa kupata huduma katika mazingira bora ya kiafya.
Hospitali ya Kifuma ni moja ya hopsitali ambayo inapedwa na watu wengi kutokana na kutoa huduma bora za afya na kutokana na hilo watu wengi humiminika kwenda kupatiwa matibabu.
Kutokana na hilo Meridianbet iliona kuwa ni vyema kwenda kutoa msaada wa Dustbins hospitalini hapo kwani sehemu ambayo inatumiwa na watu wengi hata uhitaji wa vitu muhimu unakuwa mkubwa zaidi. Kampuni hiyo ilifunga safari moja kwa moja mpaka Kifuma na kupokelewa vyema kabisa wa wauguzi wa sehemu hiyo leo.
Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Akizungumza wakati wa makabidhiano, Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram alisema kuwa, “Meridianbet inaamini afya bora inaanzia katika mazingira safi. Kupitia msaada huu wa dustbins, tunataka kuunga mkono juhudi za Hospitali ya Kifuma katika kuhakikisha usafi unazingatiwa kila wakati. Ni jukumu letu kama kampuni kuhakikisha tunarudisha kwa jamii na kushirikiana nao katika kuleta mabadiliko chanya.”
Na pia kwa upande wa Hospitali hiyo ya Kifuma hapo Sinza baada ya kupokea Dustbins hizo alisema kuwa, “Tunafurahi kuona Meridianbet imetambua changamoto yetu ya taka na kuja na suluhisho. Msaada huu utasaidia kuboresha mazingira ya hospitali na kuimarisha huduma kwa wagonjwa wetu.”
Meridianbet itaendelea siku zote kuwaunga mkono watu wenye uhitaji katika jamii yetu kwani wao na jamii wanategemeana kwa kila kitu. Lakini pia Kampuni hiyo inawashihi watu kutunza mazingira kwa kutokutupa taka hovyo ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.
Leo hii mechi kibao zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana Meridianbet pekee. Ingia na utengeneza jamvi lako la ushindi hapa.