MECHI za UEFA leo hii zinaendelea baada ya jana kushuhudia mitanange kibao ya kukata na shoka. Nafasi ya kuondoka na pesa unayo ndani ya Meridianbet, ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Mapema kabisa Olympiacos atakuwa mwenyeji wa Pafos FC ambao hawapewi nafasi ya kushinda mtanange huu wa leo wakiwa na ODDS 7.80 kwa 1.46. Timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashindano makubwa huku kila timu ikihitaji ushindi wa kwanza kwenye mechi yao ya kwanza siku ya leo. Je jamvi lako unaliweka wapi siku ya leo?. Bashiri hapa.
Nao Bodoe/Glimt watasafiri kukuwasha dhidi ya Slavia Prague ambao wanakipigia kule katika ligi ya Czech Republic ambao kwasasa wapo nafasi ya kwanza. Wageni wao kwenye ligi yao wapo nafasi ya kwanza pia. Kwahiyo leo hii zinakutana timu ambazo ni vinara kwenye ligi zao. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.90 kwa 3.85. Jisajili hapa.
Michezo ya Kasino kukupatia pesa siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Majira ya saa 4:00 kutakuwa na mtanange mkali kati ya Ajax vs Inter Milan ambao toka ameondoka aliyekuwa kocha wao Inzaghi wamepungua kasi. Kiwango chao hakiridhishi kwenye ligi hadi sasa wani wamepoteza mechi mbili mfululizo. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili ilikuwa 2008 kwenye mechi ya kirafiki ambao Inter walikuwa wababe. Je leo hii kwa ODDS 4.50 kwa 1.76. Beti hapa.
Dunia nzima sasa itaelekeza macho yake kwenye mechi ya kukata na shoka kati ya Bayern Munich dhidi ya Chelsea kule Allianz huku nafasi ya kuondoka na pointi tatu akipewa Kompany na vijana wake wakiwa na ODDS 1.75 kwa 4.50. The Blues wanataka Kulipa kisasi leo baada ya kupigika mechi ya mwisho kukutana. Suka jamvi hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Liverpool dhidi ya Atletico Madrid ya Hispania ambao leo hii kushinda mechi hii wamepewa ODDS 5.60 kwa 1.57. Liver ndio wana nafasi kubwa kushinda mtanange wa leo kutokana na faida ya kuwepo nyumbani kwao Anfield. Mechi 4 za mwisho kukutana hawa wawili kila mtu ameshinda mechi mbili mbili. Je siku ya leo beti yako unaiweka kwa nani?. Tengeneza jamvi hapa.
Naye bingwa mtetezi wa kombe hili PSG atamkaribisha kwake Atalanta BC kutoka kule Italia. Vijana wa Enrique wanahitaji ushindi mechi hii ya leo ili waanze michuano hii kwa ushindi mnono, huku wageni wao pia wakihitaji ushindi siku ya leo. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pia ODDS zake ni 1.48 kwa 6.40. Bashiri sasa.