Bashiri Leo, Shuhudia Ushindi wa Chelsea, Liverpool na Everton – Global Publishers


Wiki mpya ya kushuhudia mbungi la kikubwa ndani ya Carabao ndio hii inaanza leo na tunashuhudia vigogo mbalimbali wa soka la Ulaya wakionyeshana misuli ya nani mbabe dhidi ya mwenzake. Ndani ya Meridianbet, fursa ya kuondoka na vibunda vya kutosha ipo kwako kwani odds za leo ni kubwa sana. Hakikisha umesuka jamvi lako na Meridianbet sasa.

Chelsea wakiwa kwenye kiwango bora kabisa watakwenda kumenyana na klabu ya Lincoln City kwenye dimba la Sincil Bank katika mchezo wa raundi ya tatu kombe la Carabao Cup. Meridianbet wamehakikisha odds ni bomba kwa kila timu katika mchezo huu mkali. Vilevile unaweza kucheza michezo ya Kasino mtandaoni kama Aviator na Super Heli na ufurahie ushindi wa hali ya juu.

Everton baada ya kukubali kipigo cha derby, wapo tena uwanjani didi ya Wolverhampton Wanderers. Uwanja wa Molineux Stadium utawapokea Everton ambao mchezo wa awali wa ligi kuu Uingereza waliibuka na ushindi dhidi ya wapinzani hao. Nani kuibuka na alama 3? Majibu yanapatikana Meridianbet ambapo kila timu imepewa odds bomba.

Je unajua kuwa michezo ya Kasino inaweza kukupatia pesa siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Vinara wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Liverpool baada ya ushindi wa wikiendi dhidi ya Everton, watakua na kibarua pale Anfield kukipiga na Southampton. Liverpool watahitaji alama tatu muhimu ili kuendelea kuusaka ubingwa wa Carabao. Bashiri na Meridianbet mchezo huu na ufurahie odds kubwa za kibabe.

Brighton & Hove Albion wao watakua ugenini katika dimba la Oakwell kumenyana na klabu ya Barnsley wanaoshiriki ligi daraja la kwanza Uingereza. Mchezo unaonekana kuwa ni mwepesi kwa vijana wa Fabian Hürzeler amabao kwa upande wa ligi kuu hawajawa na msimamo mzuri. Unaweza kubashiri mchezo huu kupitia Meridiabet wamekuwekea odds kubwa.

Michezo yote hii na mingine mingi bila kusahau michezo pendwa ya kasino mtandaoni inapatikana ndani ya Meridianbet pekee. Jisajili sasa kupitia tovuti ama app rasmi ya simu na uanze safari yako ya ushindi kibingwa kabisa.