Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri Tanzania, imezindua promosheni ya kipekee inayowapa wachezaji nafasi ya kushinda mamilioni kwa kasi ya ajabu kupitia mashindano ya Playson Short Races. Kuanzia tarehe 9 hadi mwisho septemba, mashindano haya yanarindima kila usiku kuanzia saa 4:00 hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na zawadi zinazofikia jumla ya TZS bilioni 6 zinasubiri washindi.
Kushiriki ni rahisi sana, mchezaji yeyote aliyesajiliwa anaweza kuingia kwenye mashindano kwa kuweka dau la TZS 600 au zaidi kwenye sloti yoyote ya Playson inayoshiriki. Kila ushindi unakupa alama kwenye jedwali la uongozi, kwa mfano, ushindi wa TZS 6,000 unakupa alama 20, huku TZS 30,000 ikikupa alama 100. Kadri unavyoshinda, ndivyo unavyopanda juu kwenye jedwali.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Hakuna usajili wa ziada unaohitajika. Mara tu unapocheza sloti ya Playson kwa pesa halisi, tayari umeingia kwenye mashindano. Hata wachezaji wapya wa kasino mtandaoni wana nafasi ya kushiriki na kujipatia ushindi mkubwa bila vizingiti.
Malipo ya zawadi hufanyika kwa haraka ndani ya siku tatu tu baada ya mashindano kumalizika na pesa huingia moja kwa moja kwenye akaunti yako. Meridianbet pia inahifadhi haki ya kurekebisha matokeo au zawadi endapo kutatokea hitilafu za kiufundi, udanganyifu au ukiukaji wa masharti ya promosheni.
Usikubali nafasi hii ipite bila kuchukua hatua. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet sasa, cheza sloti za Playson kwa kasi, na uandike jina lako kwenye jedwali la washindi.
Related