Kombe la Carabao Larejea kwa Kishindo Jumanne Hii

WIKI hii inafungua pazia la raundi ya tatu ya michuano ya Carabao Cup, ambapo miamba ya soka barani Ulaya wanakutana uso kwa uso kutafuta nafasi ya kusonga mbele. Mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu, huku Meridianbet ikiwapa nafasi ya kipekee ya kujishindia fedha kupitia odds kubwa zinazopatikana leo.
Katika dimba la Sincil Bank, Chelsea walioko kwenye kiwango cha juu watavaana na Lincoln City katika mtanange unaotarajiwa kuwa wa kuvutia. Meridianbet wameweka odds murua kwa kila timu, na kwa mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, michezo kama Aviator na Diamond Hustle inasubiri ushindi wako wa kifalme.
Everton, waliotoka kupoteza katika derby ya wikiendi, wanarejea dimbani kukabiliana na Wolverhampton Wanderers kwenye uwanja wa Molineux. Katika mechi ya awali ya ligi kuu Uingereza, Everton waliibuka na ushindi dhidi ya Wolves. Je, wataweza kurudia mafanikio hayo? Bashiri kupitia Meridianbet na ufurahie odds za kuvutia kwa kila upande.
Kwa mashabiki wa kasino, leo ni fursa ya kujikusanyia maokoto kupitia michezo kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi sasa.
Vinara wa ligi kuu Uingereza, Liverpool, baada ya ushindi wao dhidi ya Everton, wanarejea Anfield kupambana na Southampton. Mechi hii ni muhimu kwa Liverpool katika harakati zao za kutwaa ubingwa wa Carabao. Odds za Meridianbet kwa mchezo huu ni za kibabe, bashiri sasa na ufurahie ushindi.
Brighton & Hove Albion nao watakuwa ugenini kwenye dimba la Oakwell dhidi ya Barnsley kutoka ligi daraja la kwanza. Ingawa Brighton hawako vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu, mechi hii inaonekana kuwa fursa nzuri kwao kurejea kwenye mstari. Meridianbet wameweka odds kubwa kwa mchezo huu pia.
Michuano yote ya Carabao Cup pamoja na michezo mingine ya kasino mtandaoni inapatikana ndani ya Meridianbet pekee. Jisajili kupitia tovuti au app rasmi ya Meridianbet na uanze safari yako ya ushindi wa kipekee leo.