Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii, kampuni ya Meridianbet imeonesha moyo wa huruma kwa kugawa vifaa kinga kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), ikiwa ni hatua ya kuwalinda dhidi ya athari kali za jua.
Katika tukio lililofanyika jijini Dar es Salaam, Meridianbet ilitoa kofia zenye ubora wa hali ya juu pamoja na miwani ya jua kwa walengwa, ikiwa ni msaada mahsusi wa kuimarisha afya na usalama wao. Vifaa hivyo vinasaidia kupunguza hatari ya mionzi ya jua ambayo huweza kusababisha madhara makubwa kwa ngozi na macho ya watu wenye ulemavu wa ngozi.
Mwakilishi wa Meridianbet alieleza kuwa kampuni hiyo haifanyi biashara tu, bali inajenga jamii.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
“Tunatambua kuwa watu wenye ulemavu wa ngozi wanakumbana na changamoto nyingi za kiafya. Kwa hiyo, tuliona ni muhimu kuchukua hatua ya kuwasaidia kwa vitendo. Tunataka kila Mtanzania ajisikie salama na kuthaminiwa.”
Wanufaika wa msaada huo walipokea vifaa kwa furaha na shukrani, wakieleza kuwa msaada huo utawapa ujasiri wa kuendelea na shughuli zao za kila siku bila hofu ya madhara ya jua. Baadhi yao walieleza kuwa msaada huo ni wa kipekee na unawapa matumaini mapya.
Hatua hii ni sehemu ya mfululizo wa miradi ya kijamii inayotekelezwa na Meridianbet, ikilenga sekta mbalimbali kama afya, elimu na mazingira. Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa uwajibikaji kwa jamii ni sehemu ya utendaji wake.
Related