Mrembo maarufu na msanii wa mitindo nchini Tanzania, Surraiya Rimoy maarufu kama Sanchi (@surraiyaworld), ameendelea kuwa gumzo mitandaoni baada ya kuhusishwa kimapenzi na msanii nyota Harmonize.
Zaidi ya tetesi hizo, Sanchi ameonesha upande wake wa kibiashara kwa kufungua duka jipya kubwa la kuuza nguo lililopo Sinza Mori, jijini Dar es Salaam.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sanchi aliandika ujumbe wenye mvuto kwa mashabiki na wafuasi wake:
“Seductive lovers 😍🤗🤗 karibuni dukani, we are open and ready to serve you 📍Sinza Mori.”
Related