PIGABET YAENDELEA KUVUNJA REKODI KWA WASHINDI WA WIKI YA 4


 Dar es Salaam,– Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Pigabet
inaendelea kutimiza ndoto za wateja wake kupitia kampeni zake kubwa mbili:
Shinda Ndinga na Pigabet pamoja na Jismartishe, inayofanyika kwa ushirikiano na
Mixx by Yas.

 

Katika droo ya wiki hii ya Shinda Ndinga, Shafii Kayamba
ameibuka mshindi na kujinyakulia simu mpya aina ya Samsung Galaxy. Wakati
huohuo, kampeni ya Jismartishe imezidi kung’ara baada ya washiriki wake wawili
kufanikiwa kushinda zawadi nono; Khadija Ally akibeba nyumbani Smartphone ya
kisasa, huku mshindi mwingine akipata Hisense Smart TV 55’.

 

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya zawadi hizo, Mkuu wa
Masoko wa Pigabet, Arthur Kazora, alisema:

 

 “Nina furaha kubwa
kuona kuendelea kuwapa zaidi wateja wa Pigabet. Hii ni safari ya pamoja – kila
dau linatupa nafasi ya kusherehekea pamoja na wachezaji wetu. Kila dau ni
nafasi ya ushindi ukiwa mteja wa Pigabet.”

 

Pigabet imekuwa ikifanya droo zake kila Alhamisi, ambapo
washindi wapya hutangazwa mara moja siku hiyo hiyo. Safari bado inaendelea,
huku zawadi kubwa zaidi – Toyota IST – ikisubiri mshindi mwishoni mwa
promosheni ya Shinda Ndinga.

Kampeni hizi zitaendelea hadi Novemba 2025, zikitoa nafasi
lukuki kwa Watanzania kujishindia zawadi kubwa na kuandika historia mpya
kupitia Pigabet.