Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • EWURA YATEMBELEA MRADI MKUBWA WA UMEME WA SOLA KISHAPU

    1 hour ago
  • Tanzania Yapata Medali ya Dhahabu Apimondia 2025

    1 hour ago
  • TRA yajizatiti huduma kwa wafanyabiashara wadogo

    2 hours ago
  • Furaha ya wazazi inayoangamiza kesho ya watoto

    2 hours ago
  • Serikali, wadau kushirikiana kukuza utalii

    2 hours ago
  • Othman aahidi elimu itakayojenga ushindani Zanzibar

    3 hours ago
  • Home
  • 2025
  • September
  • 27
  • Wimbo Mpya : MAP MASTAR MKM Ft. NOBE
  • Burudani

Wimbo Mpya : MAP MASTAR MKM Ft. NOBE

Admin4 hours ago01 mins
5

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Map Mastar MKM wakishirikiana na Nobe wametambulisha rasmi wimbo wao mpya uitwao “Kiongozi Bora”, audio rasmi ikiwa imewekwa kupitia mtandao wa YouTube chini ya Misalaba Media. 

Wimbo huu unakuja ukiwa na ujumbe mzito wa kijamii unaogusa nafasi na wajibu wa viongozi bora katika maendeleo ya taifa, ambapo wasanii hao wanatumia sanaa yao kueleza matarajio ya wananchi kwa viongozi wanaojali, kusimamia haki na kusogeza huduma karibu na wananchi.

Post navigation

Previous: WADAU WAJITOKEZA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI.
Next: DKT. PHILIP MPANGO, BALOZI MULAMULA NA VIONGOZI WENGINE WA TANZANIA WASHIRIKI MKUTANO WA UNGA NEW YORK, USA.

Related News

Mmomonyoko wa maadili kilio elimu ya juu

Admin10 hours ago 0

Hekaya za Mlevi: Wapinzani hoyahoya mpaka lini?

Admin14 hours ago 0

Sanchi Aendelea Kutikisa Mitandaoni, Afungua Duka Kubwa Sinza – Global Publishers

Admin17 hours ago 0

Harmonize na Sanchi Wazua Gumzo, Mashabiki Wadai Ni Wapenzi – Global Publishers

Admin2 days ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo