Diamond Platnumz – Msumari (Official Music Video) – Global Publishers




Mwaka 2023, Diamond Platnumz alimuamini mrembo Rara Mswakyy nafasi ya kuwa Video Vixen kwenye wimbo wake YATAPITA, ambao kwa sasa una zaidi ya views milioni 67.

Sasa hivi, Diamond Platnumz amerudi na ngoma mpya MSUMARI, na tena ameonekana kumpa nafasi ile ile RaRa kwenye video hiyo.

Rara Mswakyy