TUNAUMALIZA mwezi kwa joto la soka, na usiku wa leo kwa soka la barani Ulaya ni burudani, ushindani, na bashiri zenye thamani kupitia Meridianbet. Raundi ya pili ya UEFA Champions League inatua kwa kishindo, huku timu 18 zikisaka alama muhimu kuelekea hatua ya mtoano.
Baada ya kipigo kizito kutoka kwa PSG, Atalanta wanarejea nyumbani wakiwa na kiu ya kurekebisha makosa. Lakini Club Brugge si wageni wa michuano hii, waliwapa kipigo kizito Monaco kwa mabao 4-1 na sasa wanatua Italia wakiwa na lengo la ushindi pekee. Mechi hii ni vita, na Meridianbet inatoa odds kabambe kwa mchezo huu.
Real Madrid, mabingwa wa kihistoria, wanakutana na Kairat Almaty kutoka Kazakhstan. Madrid walishinda 2-1 dhidi ya Marseille, huku Kairat wakipigwa 4-1 na Sporting CP. Kwa kikosi kilichojaa uzoefu na ubora, Los Blancos wanatarajiwa kutawala mchezo huu. Bashiri mapema kupitia Meridianbet na ujipatie ushindi kabla ya kipenga cha mwisho.
Metropolitano inakuwa uwanja wa majibu usiku huu, wakati Atletico Madrid wanapokutana na Frankfurt waliowashangaza Galatasaray kwa ushindi wa 5-1. Diego Simeone analazimika kubuni mbinu mpya baada ya kupoteza kwa Liverpool. Mechi hii ni kali sana, na Meridianbet inakupa nafasi ya kuchagua mshindi.
Kwa mashabiki wa soka na wabashiri wa kweli, usiku huu ni wa kuchagua kwa akili na kuweka bashiri sahihi huku michezo mingine mbalimbali ya kasino mtandaoni ikiendelea kutoa matajiri. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kujiunga na ushinde sasa.
Tottenham Hotspur wanatua Norway kukutana na Bodoe/Glimt, timu inayojulikana kwa kasi na mashambulizi hasa ikiwa nyumbani. Spurs walishinda kwa taabu dhidi ya Villarreal, lakini Bodoe walitoka sare ya 2-2 na Slavia Prague. Bashiri kupitia Meridianbet inaweza kukupa faida ya kipekee.
Miaka 25 tangu aanze ukocha, Jose Mourinho anarudi Stamford Bridge kama kocha wa Benfica. Chelsea walichapwa 3-1 na Bayern Munich, huku Benfica wakipoteza kwa Qarabag licha ya kuongoza 2-0. Mechi hii ni ya kihistoria, na Meridianbet inatoa odds za kuvutia kwa wanaoamini katika mifumo ya Mourinho au nguvu ya vijana wa London.
Liverpool walionyesha uhitaji wa ushindi kwa kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Atletico. Sasa wanatua Istanbul kuwakabili Galatasaray waliopigwa 5-1 na Frankfurt. Arne Slot ana kikosi chenye kasi na uzoefu, na wanatarajiwa kuendeleza rekodi nzuri ugenini. Odds za Meridianbet zinatoa nafasi ya kuchagua matokeo ya kuvutia.
Bayern Munich walionyesha ubabe kwa kuichapa Chelsea 3-1, na sasa wanatua Cyprus kukutana na Pafos FC waliotoka sare ya 0-0 dhidi ya Olympiacos. Kwa nyota kama Harry Kane, Olise na Diaz, Bayern wanatarajiwa kuendeleza makali yao. Bashiri mchezo huu kupitia Meridianbet na ujihakikishie ushindi wa pesa yako.