7
Kamera ya Michuzi Tv leo Oktoba imenasa wafanyabiasahara wa Ilala wakiendelea na kazi pamoja na kuwepo kwa bango limalowazuwia kufanyabiashara eneo hilo bado wameendelea kufanya biashara katika eneo hilo kama wanavyoonekana pichani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
kazi ikiendelea