Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa UDART – Global Publishers



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Waziri Kindamba kama Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Badala yake, nafasi hiyo imechukuliwa na Pius Andrew Ng’ingo.